Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Njemba alikuwa mbabe wa nguvu. Sasa hivi kule Ujerumani ameanza kutukuzwa tena na idadi ya wanaomtukuza inazidi kuongezeka. Hata katika baadhi ya nchi za dunia ya kwanza wengi wameanzxa kumtukuza.

Neo-Nazis wako hadi Marekani mazee, yaani huwezi kukuta mtu awe White Supremacist halafu amchukie Adolf Hitler.
Mwangalie yule Dr Uchwara David Duke utaona kabisa lilivyo na chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…