goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Naunga mkono hoja...Siyo ndoa tu huu Uzi upo kama madawa ya kulevya ukiingia tu huwezi acha, una subscribe halafu ukiingia unapata likes za kufa mtu, wote humu ni MATEJA. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unatafuta ligiZari anakuwaga na Sura mbili tofauti eeh
Unafikiri unaweza kumkatia hiyo kiu?Macho yake kama ana KIU
Eeh braza alafu wakataka kufanya uhuni basi nguvu ya uma ikafanya kaziHahahaha
Basi sawa maana Kiba ali mbwaga hadi Wiz Kid
Kwenye MTV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafikiri unaweza kumkatia hiyo kiu?
Sure bro,naona hauko nyuma kuexpress feeling zako kwa hawa malaika,good things ni kuwa Chemistry zenu zmeendanaKweli bro. Nikipata kasichana kamoja tu I am done and I will leave this beautiful planet a very happy and a satisfied man [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 775629
Ingekuwa zamani ningemwitia shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Braza leo uko obssessed na vitu gan hvo
SawaNigeria tulikuwa tunaongea Yoruba tribe, [emoji23]
Yaani uzi ndo ufanye NDOA ilege lege??? Hapana kabisa.Ni kweli aisee. Ni addiction mbaya...Naamini hata kuna ndoa zimelega lega sababu ya uzi huu.
Mko club?[emoji23][emoji23][emoji23] eti obssessed.... braza huwezi amini leo nimemiss kusikiza mangoma kwa redio basi tokea asubuhi nasikia vijimaneno na mimi nashare....
Yoruba tribe ni lugha ama?Nigeria tulikuwa tunaongea Yoruba tribe, [emoji23]
Nasikia ukikosa bando unakaba mtaani ili upate vocha uingie Jf. [emoji23]Naunga mkono hoja...
Leo hapa nilikuwa na kazi ya muhimu kweli na nimeifanya nakimbia kuja kwenye uzi huu. Kama siyo addiction ni nini?
Nitamalizia la mwisho alafu nalalaManeno yako siyo ya nchi hii. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] chizi we...
SawaUSIPOE
Sawa[emoji102] [emoji15] [emoji87] [emoji188] [emoji125] [emoji100]
Mimi ni G siyo Mungu