Nampenda mume wangu, sijalazimishwa na mtu nimeamua mwenyewe,” alisema Bahati.
Shabani Mbaallu, baba mzazi wa Bahati alisema ameridhia kwa mikono miwili binti yake kuolewa na Mbunda.
“Binti yangu alikuja akaniambia amepata mume, lakini ni mlemavu. Nikasema kama umempenda mwanangu sina shida yoyote nakuruhusu ila tu ukamuheshimu mumeo na kumtunza,” alisema.