Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Anatupa nafasi kukafanye yetu[emoji15] [emoji15]
NakusalimiaSema malkia mwema!
Sio kwa Huyu jombaa!tusiwaze sana mbele huenda makinikia yakatupa noah na chench ikabaki
Nipo mkuuKaribu mkuu
Hahhahaha hiki kichwa hata jiki imeshindikanaKichwa kichafu nina jik ya kusafisha kichwa
Naomba # yake maana hata kama yupo somalia niende
Kufanyaje kuhusu nini tena??[emoji15] [emoji15] [emoji15]Shimba ya buyenze tunafanyaje sasa. .
Toa likes pata likes rule #1Uzi Safi sana huu hauna bugudhaa
Jamaa anazinguaMkuu angalia usivuke mipaka. Utakula ban aisee. Hii inafaa Jukwaa la Wakubwa (kama bado lipo) au unaiwekea warning kuwa ina ladha ya kikubwa kubwa....