Hali yake mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23] hii siku ataiandika kwa DiaryAtaiacha hapohapo ilikowekwa waja waione[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hivi leo ni lulu's day sijui ako na hali gani huko
Hupendi mtindi??Kazingua hapo kifuani!! Kifua chote hcho, apite mbali tu
Kaone. Bongo bila umbea haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nisamehe shemeji umbea nimeacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hupendi mtindi??
Ni kujipendekezaSijui ndo niseme ni mapenzi ama ujinga hata sielewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo povu nimeliona bhana.Labda ataanza kujielewa maana analazimisha sana kupendwa na Dai [emoji23][emoji23] Leo anasema watu wanamuonea wivu yeye kuzaa na matajiri anawajua matajiri kweli na Jacklyn Mengi asemeje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mitindi mingine sio,unafichwa huonekaniHupendi mtindi??
Umemtafutia kakasoro evenchuale eeh! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazingua hapo kifuani!! Kifua chote hcho, apite mbali tu
Mengi yatasemwa...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bibie hataki kujitambua kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo povu nimeliona bhana.
Sema ifike kipindi ajikubali tu
Pesa ya kuipigia hesabu ni yako si ya kupewa kwa mwezi mara moja,sasa hivi ilibidi ajipange yeye kama yeye na si kutegemea hela za child supportPesa ipo na vile team ushuzi wanasifia kazaa efm na wasafi baasi mwenzetu anajiona kafiikaa