Mwenzetu ndo kwanzaa ukimwambia hivyo anaona unamuonea wivu kazaa na matajiri,so mzigo wa malez sio wakePesa ya kuipigia hesabu ni yako si ya kupewa kwa mwezi mara moja,sasa hivi ilibidi ajipange yeye kama yeye na si kutegemea hela za child support
Huu uzi inabidi ufutwe kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harusi imevunjika jama eee[emoji441][emoji445]
Nilietaka kumuoa...[emoji441][emoji445]
Amenikatalia bila kosa jamani ee[emoji441][emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mgumu mgumuuuYaani umeniharibu akili, siku hizi unapishana na watu au waliombele yako kitu cha kwanza kukiona/kukifiria ni ka/Limsambwanda! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
UbungoFlyover?
Kweli kabisaYani pale Bibie analazimisha tu