Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanzoni, Galileo alisita kusema kuhusu utafiti wake kwa sababu ya kuhofu kwamba atadhihakiwa na kupuuzwa. Akiwa ameshindwa kuzuia msisimuko wake kutokana na yale aliyoona kupitia darubini yake, Galileo alianza kusema kuhusu utafiti wake.
 
Katika mwaka 1623, Papa Urban wa Nane, aliyekuwa rafiki wa Galileo, alianza kutawala. Hivyo, katika mwaka wa 1624, Galileo alimwomba papa aondoe amri iliyowekwa mwaka 1616.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…