Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I wish! Bahati mbaya sina bahati hiyo! [emoji1][emoji1]
Una bahati Andjul kalala ila shwaiini hata 50 ungezichezea leo. Wewe huyu huna bahati? Uliyeitwa kwenye darasa "ukafundishwe"?. Na maua yakatafutwa darasa likapambwa makazi ya Cleopatra cha mtoto? Na muziki laini wa Kihindi ukawekwa. Come on man [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…