Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
If I showed you my flaws
Hahah ni kweli bro[emoji16] [emoji16] [emoji16] ila wadada wa namna hii siku hawapo, wanaokupa kibuti na maneno ya kwenye kanga, wameisha bro
Mifugo ipo mkuu ila matukio mengi kama hayo huwa nayasikia kutoka huko....Kwa sababu gani mkuu, kwani kanda ya kati na kanda ya kaskazini hakuna mifugo?
Amina. Siku yenye baraka na amaniasubuhi ingine tena
Mungu atupe siku njema