[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una bahati Andjul kalala ila shwaiini hata 50 ungezichezea leo. Wewe huyu huna bahati? Uliyeitwa kwenye darasa "ukafundishwe"?. Na maua yakatafutwa darasa likapambwa makazi ya Cleopatra cha mtoto? Na muziki laini wa Kihindi ukawekwa. Come on man [emoji36][emoji36][emoji36]
Vaa jacket,mi nipo naota motoBaridi ni kali sana
Hahah!! Ngoja na mimi nikaote kwenye jiko la gasVaa jacket,mi nipo naota moto