myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe afya na uzima
Wenye wake wanapata joto asilia[emoji4] [emoji4]Hahah!! Ngoja na mimi nikaote kwenye jiko la gas
[emoji23][emoji23] hilo ndio zuri sana sasaWenye wake wanapata joto asilia[emoji4] [emoji4]
Mpaka saiv hawajaamka[emoji4] [emoji39][emoji23][emoji23] hilo ndio zuri sana sasa
Waache tu kwakweli ata mimi nisingeamkaMpaka saiv hawajaamka[emoji4] [emoji39]
Natamani nipite nyumba hadi nyumba niwakurupue wote ili waende makazini . hapa kazi tu[emoji41] [emoji4]Waache tu kwakweli ata mimi nisingeamka
Hahah ata hiyo ni kazi lakiniNatamani nipite nyumba hadi nyumba niwakurupue wote ili waende makazini . hapa kazi tu[emoji41] [emoji4]
[emoji4][emoji4][emoji4]Usinifanyie hivyo I will excellent study
Please [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani chukuchuku kabisa, BUA[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko kwa mkopo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You are very smart lady
Welcome Argentina
Mzima kijana?Hahah ata hiyo ni kazi lakini
Huna blanket chapa mtu wewe [emoji23]Baridi ni kali sana
Niko poa sweetlee vipi wewe?Mzima kijana?
[emoji23][emoji23] ndio sinaHuna blanket chapa mtu wewe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unaipa Germany ubora kuliko Italy [emoji3][emoji3][emoji3] tatizo nashabikia timu bora tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe hakuna hata tim hata moja tunashabikia pamoja.
Germany yenyewe umedandia tuu