Ushahidi upo mwingi tu ningeUnaushahidi mkuu[emoji16] juu ya kutumika huko
Zamani mkuu,, nataka niwekeze hapa kwenye punda Traffic light[emoji16]Umewahi fursa kwenye jiji tarajiwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aaaa wapi. Nimerudi ghetto kujipikilisha ugali. Mkoromije orijino na majani haya wapi na wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inamaana ndo umeshiba??
[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko vizuri kasmart hofu na mashaka juu yako[emoji6]Poa shiro,, uko poa ww
Kama umesema ww, itakuwa kweli aiseeUshahidi upo mwingi tu ninge
Mkuu usikatetee, kaliji haribu tangu kapo "nanihii Daima" baadaye wabana pua nao "wakala",ndo vile siwema alivyo enda kwa teja ndipo marehemu akaanza kutapatapa pa kuangukia.Kumbuka shule alikuwa anasumbua sana na yule binti mwenzie wa kichaga. Walimu nao "wakala" sanaa...Mkuu haiwezekani kila kitu tukishuhudie kwa macho yetu. Hata hivyo umri wa huyu bint na mahusiano yao yalipoanza ni dhahir alikuwa anabakwa. Vinginevyo mtu mzima na akili zako timamu uchezee kichapo cha msichana mpaka unazimishwa basi utakuwa wa kupimwa akili
Aah kama mm shiro,,nilikumiss shiroNiko vizuri kasmart hofu na mashaka juu yako[emoji6]
Nilikumiss pia kasmartakeeAah kama mm shiro,,nilikumiss shiro
Hakuweza,baadae alirisiti napo alifeli sijui alitumia cheti gani kuingilia chuo aliposomea diplomaMkuu usikatetee, kaliji haribu tangu kapo "nanihii Daima" baadaye wabana pua nao "wakala",ndo vile siwema alivyo enda kwa teja ndipo marehemu akaanza kutapatapa pa kuangukia.Kumbuka shule alikuwa anasumbua sana na yule binti mwenzie wa kichaga. Walimu nao "wakala" sanaa...
Hivi aliweza kuhitimu sekondari?