carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au ndo ile wanasema ukiwa na pesa utasifiwa kitambi,baby me ilike that[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama una pesa kitambi hakina tatizo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hali ya uchumi hii ni kizuri sana, kwanza unaonekana hauna shida. Pili na muhimu zaidi kitambi kinakusaidia kukaa mbali na mabinti kwa hofu ya kusingiziwa kibamia...Ila kitambi hakipendezi bhana
Ukiwa na pesa watasema tena "baby mi nataka zile tukiwa bathroom unibebe i missd that"Kama una pesa kitambi hakina tatizo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikilala naota, naota Kama unaniita......
Miss u pimbi
Na wewe umepigwa shem?Hajaonekana bado
Tanzania tunaongoza kwa kuwaamini madaktari walio somea Muhimbili.Eti Harvad,mkuu kwan unatibiwa kwa kuangalia jina la chuo alichohitimu daktari
Ndiyo. Kwenye private sector huko ni muhimu kuijua historia na qualifications za daktari wako. Huwezi kukubali kufanyiwa opresheni hatari bila kujiridhisha kwanza kuhusu huyo daktari. Wengine ni crooks anakusakizia lioperesheni ambalo wala hulihitaji ili tu apige hela. Second na hata third opinion ni muhimu sana...
Oooh!! Mbe nuje okuyenja jimbumi
Kwa hali ya uchumi hii ni kizuri sana, kwanza unaonekana hauna shida. Pili na muhimu zaidi kitambi kinakusaidia kukaa mbali na mabinti kwa hofu ya kusingiziwa kibamia...
Kabisa wanamuonea steve wakati kametandikwa na wengi kabla yakeGule gumbaba gwenye ndevu utadhani fagio la kukusanyia takataka sokoni mbona haukulaumiwa kwa kampeni ya kumpunguzia umri binti? Sitivini hakuinjoi sana na hako kabinti.
Kama una pesa hata kibamia kitageuka muhogo wa jang'ombe. Tutafuteni pesa bajameni [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hali ya uchumi hii ni kizuri sana, kwanza unaonekana hauna shida. Pili na muhimu zaidi kitambi kinakusaidia kukaa mbali na mabinti kwa hofu ya kusingiziwa kibamia...
Ukiwa na pesa watasema tena "baby mi nataka zile tukiwa bathroom unibebe i missd that"
Hawakosi sababu hawa
Ungejua sisemi, silali
kwako vile sihemi iiiiiih iiiih
we ndo kiboko yangu
Mahabubaaaa Aaaaaaah
nyongo mkalia ini
sinaga mwingine baba weeeee
nyongo mkalia ini
Shida yangu kukuona mzima babaaaa,
njaa sio tatizo
Kama shida tumezoea sana babaaaa,
tangu enzi hizo
Wacha wapaki marange nimependa bodabodaa
iiiiiiiyeeeeaaaaaaaaah
Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga
babaaa weeee aaaah
Chai kwa andazi wala sinaga shida
Iyeeeeeeaaaaaaah
Uniletee boga ninapomiss bagger
Iyeeeee eeh eeh
[emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji445][emoji443][emoji443][emoji445][emoji444]
[emoji177][emoji176][emoji176][emoji175][emoji177][emoji176][emoji176][emoji175][emoji177][emoji177][emoji176]
[emoji173]
Penzi KIKOHOZI
Nipo boss. Habari yako mkuuWapi Kichwa Kichafu
Na wewe umepigwa shem?
Ungejua sisemi, silali
kwako vile sihemi iiiiiih iiiih
we ndo kiboko yangu
Mahabubaaaa Aaaaaaah
nyongo mkalia ini
sinaga mwingine baba weeeee
nyongo mkalia ini
Shida yangu kukuona mzima babaaaa,
njaa sio tatizo
Kama shida tumezoea sana babaaaa,
tangu enzi hizo
Wacha wapaki marange nimependa bodabodaa
iiiiiiiyeeeeaaaaaaaaah
Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga
babaaa weeee aaaah
Chai kwa andazi wala sinaga shida
Iyeeeeeeaaaaaaah
Uniletee boga ninapomiss bagger
Iyeeeee eeh eeh
[emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji445][emoji443][emoji443][emoji445][emoji444]
[emoji177][emoji176][emoji176][emoji175][emoji177][emoji176][emoji176][emoji175][emoji177][emoji177][emoji176]
[emoji173]
Penzi KIKOHOZI
@carbamazepinePimbiiiiiiii....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kwendaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umesemaaaa
Stiv ni jumba bovuKabisa wanamuonea steve wakati kametandikwa na wengi kabla yake