Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona umekamatika sawa sawa. Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Madedikesheni haya yalianza asubuhi. Sweetlee, Cole na Yego mrudi hapa mara moja muendeleze mtanange...
 
Kama una pesa hata kibamia kitageuka muhogo wa jang'ombe. Tutafuteni pesa bajameni [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja aliwahi kunidanganya eti "bebi wee ni mzuri sana...una rangi nzuri jamaniii "
Sikujihangaisha kujikagua upya kwenye kioo maana najijua kwa rangi yangu ya mbabuko na sura yangu.
Ameishia kuisifia namba yangu ya simu kuwa ni nyepesi haisahauliki....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gaaiiii
Shem acha kunichekesha jamani khaa!
 
Dedicated to me au kuna mwingine mama?
 
Tanzania tunaongoza kwa kuwaamini madaktari walio somea Muhimbili.
Ni madaktari wazuri sana japo wanafanyia kazi katika mazingira magumu. Nilifanyiwa operesheni kubwa pale hata nilipokwenda kuangaliwa na hao wa huko tukuitako majuu wakasema daktari aliyeifanya alikuwa bingwa na mweledi sana. Ambacho sikujua ni kuwa operesheni ile ni mojawapo ya operesheni ngumu sana na hatari mno. Ajabu sasa aliyenifanyia hakuwa hata na wasiwasi na nadhani alikuwa na hangover ya kufa mtu kwa sababu alikuwa ananuka pombe balaa. Mungu ni mwema. Apumzike kwa amani Prof yule [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…