Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d158d9fe-e039-4ce9-a9e9-06d7d2dc4c9c.jpg
 
Nikisema niutafute naupata.
Ila mimi ninashida na ule mkono ulioambatana na sato,niwekee puliiiiziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyinyi dah !!!

Kama kungekuwa na PhD ya umbea aisee tungewatunuku. Mmefukunyua mpaka mmeupata huu mkono. Wekeni na ule wenyewe orijino basi kama mnao [emoji818][emoji818][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shimbaaaa acha kunichekesha eti mikono ya baba,zetu.
Naomba ile picha basi[emoji125][emoji125][emoji125]
Mtasaka na mikono ya baba zenu ohooo. Mwenzangu alipaniki mpaka ikabidi alete uthibitisho kuwakinza. Mimi niliwaiginoa tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaniuwa jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuambie Id yako ya kwanza niipi? Usikute wewe ni faizafox [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukio hili lilizagaa dunia nzima, ndipo vyombo vya habari vikambatiza jina la Mbweha (Tha jackal) na kumfanya awe tofauti na Carlos wengine wote duniani.
OPEC siege: Shambulizi la utekaji maarufu zaidi duniani.
Akiwa Beirut ndipo Carlos alishinda usiku na mchana kusuka mission ambayo aliamini vizazi na vizazi havitamsahau, mpango mzima ulikuwa ni kuyaliza mataifa makubwa yanayochimba na kusafirisha mafuta ambapo ndani yake kuna unyonyaji mkubwa kwa mataita madogo.
Ilikuwa hivi...
 
Jumapili ya tarehe kama ya jana Dec 21 1975 mjini Vienna kulikuwa na mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya nchi zinazozalisha na kusambaza mafuta (Organisation for Petroleum Exporting Countries-OPEC). Mkutano huu ulihudhuriwa na Viongozi wakubwa wa mataifa mbali mbali.
Mkutano wa OPEC 1975
Carlos akiwakilisha kikundi cha PFLP aliongoza timu ya watu 6 hatari katika uvamizi ulioushangaza ulimwengu akiwemo mwanamama nguli Gabrielle Kröcher (huyu alikuwa mwanamke wa kijerumani aliyeheshimika kwa kulenga shabaha kutumia mkono wake wa kushoto) .
Mwanamama Gabrielle Krocher
Asubuhi saa 3 walifika makao makuu ya OPEC ambapo mkutano ulikua unaendelea. Askari wa 4 wa Australia walichangamkiwa mapema sana baada ya kina Carlos kuingia getini, mmoja wa askari hao alifariki papo hapo.
 
Back
Top Bottom