Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kuingia ndani, kabla mwajiri mmoja wa OPEC hajabonyeza simu kuwapigia askari, mwanamama Gabrielle alimtuliza kwa shaba 1 ya bega, hapo pia alijitokeza askari mlinzi wa Waziri wa mafuta wa Libya, naye aliwahiwa kabla hajaketa madhara, hivyo kufanya idadi ya vifo kufika watu wa 3.
Kina Carlos wakapata access ya kuingia kwenye chumba cha mkutano kilichokuwa na wajumbe 63 wakiwemo mawaziri 11 wa mafuta wa nchi mbali mbali.
Carlos alichomoa simu ya waziri mmoja wa Austaria, akampigia raisi kumpa taarifa. Carlos alitoa masharti maraisi sana kwa serikali;-
》》Alitaka liletwe basi litakalowabeba mateka wote kuelekea Airport.
》》Alitaka ndege iwepo pindi wakatakapofika airport na iwe full tanked.
 
999ed1a2-a086-49e7-ad15-6203cb84973f.jpg
 
Alitaka malalamiko yote ya Palestina dhidi ya mataifa mengine yarushwe kwenye televisheni na redio ya taifa ya Australia kila baada ya masaa ma 2.
La sivyo Carlos aliahidi kuuwa mateka mmoja baada ya mwingine kila baada ya dakika 15.
Australia walifahamu vizuri jinsi Carlos alivyo mtata na mwenye uwezo wa kukamilisha matukio kwa weledi mkubwa bila kuacha ushahidi wowote. Hivyo waliamua moja kwa moja kukubali matakwa yote ya Carlos pasipo pingamizi.
Basi lililetwa mara moja, mateka wote na kina Carlos walielekea airport.
Mateka wakielekea uwanja wa ndege.
Keshowe siku kama ya leo tarehe 22, walipewa ndege ya serikali aina ya Boeing, pia Carlos aliamrisha apewe rubani Neville Atkinson. Huyu alikuwa rubani mstaafu wa jeshi la anga la uingereza (royal navy pilot), wakati huo rubani huyo alikua rubani wa Kanali Muamar Gaddafi.
Ndege iliyotumika kusafirisha mateka wa uvamizi wa OPEC
 
Umbeaaaaaaa in shimbaz voice


Akibanwa sana punguzeni umbeeeeeeeaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shimbaaaa acha kunichekesha eti mikono ya baba,zetu.
Naomba ile picha basi[emoji125][emoji125][emoji125]
Niliitoa kwenye website fulani ngoja niitafute niwape na link kabisa mkaidaunilodi huko huko. Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom