Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Love me a strong woman [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
f1aed363-9ed7-46eb-8143-ff5600f5cf82.jpg
 
Mtasaka na mikono ya baba zenu ohooo. Mwenzangu alipaniki mpaka ikabidi alete uthibitisho kuwakinza. Mimi niliwaiginoa tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haukutaka makuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Leo nataka tuangalie namna, Tembo wanavyojamiiana. Chakufahamu hata mwanzo nilieleza kuwa asilimia kubwa utawala wa Tembo upo sana upande wa Jike. ambapo utamuona Jike ambae ni mkubwa zaidi kiumri ndiye anayeongoza kundi pamoja na ndugu zake lakini kwa upande wa madume hawa katika Familia hufukuzwa hasa baada ya kufikia umri wa kijana.
 
Back
Top Bottom