Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahahahaha!!! 1st phase, 2nd phase ......Akimpata, Tendo la Kujamiiana kwa Tembo huwa halichukui Muda sana, ndani ya dakika huwa tayari na baada ya hapo Tembo jike humfuata Dume ambapo watajamiiana tena na tena mpka Jike ashike Mimba ambapo zitaachana, Dume ataenda kupambana na hali yake kwa Majike mengine na Jike huanza kuhudumia Mimba yake.