Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatua Za Kujamiiana

Kumbuka kuwa jike hutunza mimba kwa miezi 22 kabla hajajifungua. Dume huwa anaingia katika kipindi kitaalamu kinaitwa Musth ambapo huwa anatoa mate mate ambayo huwavutia majike na unaambiwa madume ambayo yana Umri mkubwa zaidi ndiyo ambayo hutoa Mate mate yenye mvuto zaidi.
 
Na pia Jike nae sio lazima afuate kipindi Dume akiwa tayari kwaajili ya Kujamiiana, Nae kuna muda huanza kutoa toa Ute maalumu ambao utokea hasa katika Mikojo yao. Hivyo Dume ambae nae yupo katika kipindi hicho cha Musth pindi ataponusa huo mkojo na kupata harufu hiyo ataanza kumtafuta Jike huyo.
 
Akimpata, Tendo la Kujamiiana kwa Tembo huwa halichukui Muda sana, ndani ya dakika huwa tayari na baada ya hapo Tembo jike humfuata Dume ambapo watajamiiana tena na tena mpka Jike ashike Mimba ambapo zitaachana, Dume ataenda kupambana na hali yake kwa Majike mengine na Jike huanza kuhudumia Mimba yake.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Straight talk (in Lemutu'z voice). Ukweli mchungu [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
d462aa8b-ef9a-459e-8092-caf600830259.jpg
 
Kwahiyo tembo wahenga ndo wana mvuto zaidi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari
Hatua Za Kujamiiana

Kumbuka kuwa jike hutunza mimba kwa miezi 22 kabla hajajifungua. Dume huwa anaingia katika kipindi kitaalamu kinaitwa Musth ambapo huwa anatoa mate mate ambayo huwavutia majike na unaambiwa madume ambayo yana Umri mkubwa zaidi ndiyo ambayo hutoa Mate mate yenye mvuto zaidi.
 
Kwahiyo tembo wahenga ndo wana mvuto zaidi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baasi wahenga watajidaai
 
Akibanwa?

Mimi huyu?

Nibanwe na umbea wa mtandaoni?

[HASHTAG]#PUNGUZENI[/HASHTAG] UMBEA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom