Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,142
Ndo hivyo. TOA LIKES POKEA LIKES
Hongera kwake la pulgaNyota wa kandanda duniani Lionel Messi atafunga pingu za maisha na mpenzi wake wa tangu utotoni katika mji wake wa kuzaliwa nchini Argentina baadaye leo.
Wewe si umekataaWeekend hii watu wameenda viwanjani
Hivi Coco unaifahamu ID ya mzuri mie?Ila nikute haunupi basi usijali nami sitakupa
Eeeeeh
Asante malkia. Lala salama malkia na malaika wema wa Mungu wakakuzunguke wewe pamoja na wapendwa wako. Mungu Akipenda basi tuonane tena kesho!Usiku mwema mungu awabariki nyote mana mmechangia kuifanya siku yangu iwe njema sana...mbarikiwe wote
We siumesema unaogopa?acha me nilale saivWewe si umekataa
TOA LIKES POKEA LIKES...uki like na mim nta like.
AminaAsante malkia. Lala salama malkia na malaika wema wa Mungu wakakuzunguke wewe pamoja na wapendwa wako. Mungu Akipenda basi tuonane tena kesho!
Poa NduguTOA LIKES POKEA LIKES...
Mtunze sana. Akuambie kila kitu anacho kiona kinafaa kulea watoto wako, na yazingatie yote, ukiyaenzi utafanikiwa sana. Nina ushahidi kwa hilo, maana wangu aliomba tusali na tulipo maliza kusali tu akaniaga na kukata roho. Maneno yake ya mwisho yanaishi mpaka leoPole mkuu. Wangu bado yupo japo kazeeka na anaumwa umwa. Nahakikisha kuwa nafurahia every moment. Tunakaa jioni hashikome ananisimulia walivyokutana na mshua, stori zake za ujana, tunaimba na nyimbo kabisa. Zote nazirekodi kwa faida ya wanangu watarajiwa siku moja. Mungu ni mwema!
Pole mkuu. Wangu bado yupo japo kazeeka na anaumwa umwa. Nahakikisha kuwa nafurahia every moment. Tunakaa jioni hashikome ananisimulia walivyokutana na mshua, stori zake za ujana, tunaimba na nyimbo kabisa. Zote nazirekodi kwa faida ya wanangu watarajiwa siku moja. Mungu ni mwema!
Itakuwa anatoa likes am sureUnatoa nini? Be specific please [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila usijali kuanzia kesho sitoogopa tenaWe siumesema unaogopa?acha me nilale saiv
Coco vipi au simu ya mwendokasi?!
Cairo's
Hiyo avatar yako daaah!! Huyo jamaa huyo!!
[emoji23] Noted mkuu shimba ya buyenzeAngalia wimbo usinoge sana ukaanguka huko bafuni (God forbid) [emoji23][emoji23][emoji23]