Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawa mkuu asanteh, ngoja nijaribu.
 
Coleeeeeeee ohooooooo
Uzi huu majamaa hayachelewagi. Nakumbuka enzi za Bob (Baba Viv) na kaYego (kabla hakajaingia kwenye ugumu feki). Kuna watu humu tulikuwa hatulali kuchunga mazizi. Naamini hata kulega lega kwa ndoa yake ya kwanza kulianzia kipindi hiki. Hatarudia makosa ya wakati ule [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…