Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu ni Bashite kule Instagram. Ni jogoo la shamba ila anawika mjini (Dar) Nilikuwa namtania Coco Channel hapo juu [emoji23][emoji23][emoji23]na huyu anataka like
Huyu ni Bashite kule Instagram. Ni jogoo la shamba ila anawika mjini (Dar) Nilikuwa namtania Coco Channel hapo juu [emoji23][emoji23][emoji23]na huyu anataka like
Ni hio hio ya ngugi wa thiongo... Ukisoma utakuta ni river between two ridges..... Please let us know which are the ridges and what is the riverOK. Nilifikiri River Between ya Ngugi. Mto Katikati ya Vilima Viwili. Better yet kama nikisoma na kujua dhamira yake nini wakiwemo wahusika wakuu itasaidia. Kazi za watu hizi mkuu. Kwa Kiswahili Paul Sozigwa (RIP) na Gabriel Ruhumbika ni wazuri sana! Hata Nyerere alijitahidi kwenye Mabepari wa Venice (kama ni yeye kweli aliyefanya hiyo kazi!)
Usiku juu mhKanyaga twende
Kipofu kiongozi wa kiwete.
[emoji30][emoji23][emoji30][emoji23][emoji30][emoji23][emoji30] life style
Walio macho likesWaio macho likes
Nimesinzia nikaota sija likes page moja..ikabidi nirudi kugonga likes!!Kalala karibu masaa matatu yaliyopita. We mkuu hulali? Midnight hiyo inabisha hodi!