Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni hio hio ya ngugi wa thiongo... Ukisoma utakuta ni river between two ridges..... Please let us know which are the ridges and what is the river
You keep on changing...Ninayo hapa kwenye pdf kama unataka ku-refresh your mind. Haya mambo ya which are the ridges and what is the river si tulijadili form 4 kwenye literature ama? Au unamaanisha nini? Themes zinazofanana fanana kwenye fasihi ya Kiafrika kwa wakati ule kuhusu madhara ya ukoloni (na dini) katika jamii za Kiafrika - Njia Panda, Shujaa Okonkwo, No longer At Ease, Wimbo wa Lawino....
 
Back
Top Bottom