mamboJogoo la shamba haliwiki mjini.
wapi? au kibiti?mnatafutwa huko
No no Shimba.... This is a river between two ridges.... Now you can translate easily I hope.Njia Panda.
Kuna mbinu nyingi za tafsiri. Things Fall Apart imetafsriwa mara mbili katika Kiswahili. Moja inaitwa Hamkani Si Shwari Tena na Nyingine inayosifiwa sana inaitwa Shujaa Okonkwo. Imagine mtafsiri wa The River Between angejaribu kufanya tafsiri ya moja kwa moja sijui ingekuwaje (Katikati ya Mto, Mto Katikati...)
Bashite mbona kawika? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jogoo la shamba haliwiki mjini.
na huyu anataka like
OK. Nilifikiri River Between ya Ngugi. Mto Katikati ya Vilima Viwili. Better yet kama nikisoma na kujua dhamira yake nini wakiwemo wahusika wakuu itasaidia. Kazi za watu hizi mkuu. Kwa Kiswahili Paul Sozigwa (RIP) na Gabriel Ruhumbika ni wazuri sana! Hata Nyerere alijitahidi kwenye Mabepari wa Venice (kama ni yeye kweli aliyefanya hiyo kazi!)No no Shimba.... This is a river between two ridges.... Now you can translate easily I hope.
Umelala? Haya[emoji13] [emoji13] .... pata like ya mwisho mwisho
Kalala karibu masaa matatu yaliyopita. We mkuu hulali? Midnight hiyo inabisha hodi!Umelala? Haya