Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habadilishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini Poti ni kaka yangu labda andjul tu
Kumbe basi tunaongezea ukaka na kichwa kichafu pia bora awe kaka kuliko kuwa jirani au shemeji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Midomo ni kiungo muhimu katika mwili wa binadamu na inafahamika kuwa kiungo hicho ni laini sana.

Lakini midomo hiyo wakati mwingine hukumbwa na matatizo kadha wa kadha ikiwamo ya kukauka au kupasuka kwa sababu mbalimbali.

Hukauka au kupasuka kutokana na ngozi yake ya juu yenye mafuta ambayo kwa kawaida yanatayarishwa mwilini kwa lengo la kuikinga midomo yanapokuwa yameondolewa au mtu mwingine anakuwa hana hiyo ngozi ya juu kabisa.
 
Hata hivyo, wataalamu wa afya wanasema, midomo hushambuliwa na vijidudu kutokana na hali ya hewa iliyokithiri kama vile joto au baridi. Hivyo midomo hupigwa na miale ya jua au baridi kiurahisi zaidi, hali ambayo inachangia kupunguza maji mwilini.

Midomo kama itakuwa imepoteza unyevunyevu wa seli, mara nyingi husababisha kuwa na mipasuko midogomidogo.
 
Je Kwanini mtu hupasuka midomo

Dk Onesmo Kaganda wa Hospitali ya misheni iliyoko Mikocheni jijini Dar es Salaam, anasema kupasuka kwa midomo ni dalili moja wapo ya mtu kuwa na maradhi mwilini yanayotakiwa kufanyiwa uchunguzi.

Anasema mara nyingi maradhi haya husababisha mtu kupasukapasuka mwili ikiwamo midomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…