Braza kumbe ulikabidhiwa kabisa?Mkuu unaniangusha. Jana tu nimekabidhiwa rasmi jukumu la kukuangalia angalia na nikakueleza kabisa leo hii unatangaza unatafuta mvaaji wa viatu. Unataka nifanyeje sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 781256
Cinderela anajijua sema anavunga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache achezee bahati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muite tu kwa kweli atuletee cinderela wetu
Nzuri maa za kwako?, kasmart alikuwepo leo asubuhi sijui kapotelea wapi tena
Shiro na Davet?Hahahah
Lesista ndio mvaaji bro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shiro na Davet?
Waliotoka nduki siku ilee maza hausi alipotia mguu huku? Aisee. Kanti bilivu zisi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]kwahili jibu hiki kiatu ni chako matheeKile kiatu ni cha nani embu kuwa muwazi
Nikaongeze mguu kikae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah! unanichekesha sana leo...
Kiatu hakina mwenyewe kweli wewe kaongeze tu ukivae [emoji23]
carbamazepineCinderela anajijua sema anavunga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache achezee bahati
Carba ulikuwa jukwaa la celebrities?Cinderela anajijua sema anavunga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache achezee bahati
asanteh sana kwa mchango wako bro.100% muonekano/utanashati unachangia kwa kiasi kikubwa sana bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja abet penzi lenu ndo utaelewaJamani hata wewe mke mwenza unanifanyia hivii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kiatu yupo buda na unamjua[emoji23] [emoji125]Kiatu kimeshapata mvaaji bro? Naomba jibu haraka...View attachment 781253
Utanashati na urembo yes vina nafasi yake (au niseme havina hasara katika mapenzi). Binti msafi mrembo anayejipenda bila shaka anavutia zaidi kuliko aliye shaghalabaghala (and vice versa)..hivi muonekano wa nje(utanashati au urembo) unachangia zaidi kudumisha mahusiano yaani mwanamme au mwanamke kuongeza Mapenzi kwa mwenza wake?
karibuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi sasa nawe[emoji23]
[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numby jamani mimi simuachi Cole jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kabisa....Utanashati na urembo yes vina nafasi yake (au niseme havina hasara katika mapenzi). Binti msafi mrembo anayejipenda bila shaka anavutia zaidi kuliko aliye shaghalabaghala (and vice versa)..