Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilikuwa kwenye misa ya maombolezo. Mchungaji wetu mmoja kafariki kwenye ajali ya gari Jumatatu usiku. Maisha yetu haya yaani hatujui siku wala saa. So sad yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Bora kaja[emoji124][emoji124]
Hapana. Nitakuwa karibu na kamati ya vinywaji. Sahihisha umbea...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe utakua kamati ya vinywaji jirani..
Jirani Mimi naangalia(nahesabu) waoaji..Tangu lini mi nikawa shabiki wa mpira? Nakuona unanipiga nyundo za uhakika na vimafumbo vyako. Siyo vizuri hivyo jirani...
Halafu uzi huu huwezi kujua who is who kila mtu mbea tu wanaume included. Wakati mwingine unasoma umbea inabidi ujiridhishe kuangalia ID kwanza ili kuhakikisha...
Ya Kitoo tena?Naona ulitaka kula na ya kitooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] iceman akashtuka
Bro bhana, hadi uijue pole ya nn nmempa [emoji23]Unapewa pole ya nini? Kufungwa na Chelsea ama?
Poleni sana jirani. Ndio njia yetu.Nilikuwa kwenye misa ya maombolezo. Mchungaji wetu mmoja kafariki kwenye ajali ya gari Jumatatu usiku. Maisha yetu haya yaani hatujui siku wala saa. So sad yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tunatembea na kifo kila siku,hatujui siku wala saa,lini ama wapi.Nilikuwa kwenye misa ya maombolezo. Mchungaji wetu mmoja kafariki kwenye ajali ya gari Jumatatu usiku. Maisha yetu haya yaani hatujui siku wala saa. So sad yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jirani ni umbea au uliomba hilo?Hapana. Nitakuwa karibu na kamati ya vinywaji. Sahihisha umbea...
Uzuri wa shemejio kipenzi hana neno..yuko tayari kwa lolote
(Yeyote)
waoaji wapo mkuuJirani Mimi naangalia(nahesabu) waoaji..
Wewe unatoa nasaha ila waoaji hawapo....
PUNGUZENI UMBEA...Espeshale "mianaume"Jirani Mimi naangalia(nahesabu) waoaji..
Wewe unatoa nasaha ila waoaji hawapo....
Sorry bro kama nimeingilia nisipopaswa...[emoji16][emoji16][emoji16]Bro bhana, hadi uijue pole ya nn nmempa [emoji23]
Jirani unasahau jirani...PUNGUZENI UMBEA...Espeshale "mianaume"
Kapata ajali anatoka kuhubiri halafu. Mwenzake hata mchubuko hakuna yeye nyang'anyang'a. Yote kwa yote Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Poleni sana jirani. Ndio njia yetu.
Ni umbea...Jirani ni umbea au uliomba hilo?
Yeyote muoaji