carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Una kipaji cha uandishi. Ukitaka namba ya Shigongo sema nikupasie...
Kwema lakini ndugu yangu. Umesharudi au mpaka kesho?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una kipaji cha uandishi. Ukitaka namba ya Shigongo sema nikupasie...
Kwema lakini ndugu yangu. Umesharudi au mpaka kesho?
Keshakamilisha safari yake. Ndiye alinipokea kwenye hili kanisa ninalosali. A true man of God. Basi tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijari bro,
Pole pia kwa msiba bro, njia yetu moja wote tunaelekea huko
Mola ampunguzie adhabu ya kaburi
Nasubiri ile zawadi yangu ujue?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijasahau[emoji124][emoji124][emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu ni mwema kwa kweli. Sijui huko ndugu yangu?
Wapwao wanafunga Ijumaa, itanilazimu niwasubiri niondoke nao.
[emoji120][emoji120]Watu wengi wamempokea Yesu katika misa yake. Hilo ndilo linaleta faraja kubwa. Mega Church imefurika watu call imetoka Roho Mtakatifu Akatingisha watu. It was real nice [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu ni mwema. Muda wote yupo upande wetu [emoji120] [emoji120]Ndi nkafu mmanyani..Hofu kwako
Sawa. Nilifikiri wao wako Kibamba...Mungu Aendelee kuwabariki jamani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu ni mwema kwa kweli. Sijui huko ndugu yangu?
Wapwao wanafunga Ijumaa, itanilazimu niwasubiri niondoke nao.
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu ni mwema. Muda wote yupo upande wetu [emoji120] [emoji120]
Wanasema wema hutangulia mapema, sijui kama hii kauli inaukweli ndani yake au ni siku zake znakuwa zmefikaKeshakamilisha safari yake. Ndiye alinipokea kwenye hili kanisa ninalosali. A true man of God. Basi tu...
Najua hata nikifa leo, wewe ndiye utakae toa maelezo.Haya maneno yako tu mimi hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekukumbuka tu mimi,nikasema leo ikipita bila kukuona kesho naenda sentro kulipoti kupotea kwako.
Mzima lakini?
Bro ako yuko vizuri ila huu uzi si mzuri kwa afya ya akili[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]hata wewe utajishangaa busara zako zinakopotelea[emoji23][emoji23]Wanasema wema hutangulia mapema, sijui kama hii kauli inaukweli ndani yake au ni siku zake znakuwa zmefika
Kumbe unaupako wa nguvu bro, sema ni uzi tu unakufanya sometimes utoke kwenye line [emoji23]
Afande babe wangu oooh sorry mzee mwenzangu kapotea[emoji23][emoji23]kumbe bamdogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Najua hata nikifa leo, wewe ndiye utakae toa maelezo.
Mara Paap...upo Senturo babaako mdogo huyu hapa!!!! Enheee andikisha maelezo binti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Busara zangu ziko imara carba, ww mwenye si unaona [emoji23][emoji23]Bro ako yuko vizuri ila huu uzi si mzuri kwa afya ya akili[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]hata wewe utajishangaa busara zako zinakopotelea[emoji23][emoji23]