Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kunapokuwa na upendo hakika tunafanyiana mambo mema kama vile tupo katika familia moja. Kunapokuwepo na upendo tunatambua kuwa Mungu ndiye chimbuko letu sote na ni kaka na dada....watoto wa Mungu.

“Kaka zangu na dada zangu, hiyo ndiyo mbingu mpya, dunia mpya, ulimwengu mpya na familia mpya ya ubinadamu,” alisema.

Askofu huyo aliyechaguliwa kuongoza Kanisa la Anglikana mwaka 2015 aliongeza kusema; “ baada ya kueleza haya nitakaa chini lakini sasa ebu kila mmoja wenu afunge ndoa”.

Vionjo vya harusi

Harusi ya Harry na Meghan inatajwa kuwa ya aina yake katika historia ya harusi nyingi za kifalme nchini Uingereza, kutokana na kwenda kinyume na utamaduni wa harusi za familia ya kifalme Uingereza ambazo hufanyika katikati ya wiki.

Wawili hao walichagua wimbo wa “Stand By Me” ulioimbwa na Karen Gibson na kwaya ya Kingdom. Awali wimbo huo uliimbwa na Ben E. King aliyeutunga na kuandika mashairi.

Pia Harry aliamua kuvaa pete ya ndoa, kitu ambacho kaka yake, baba yake na babu yake hawakukifanya.

Pia, wawili hao waliamua kutumia lugha ya Kiingereza cha kisasa badala kile cha asili. Katika neno “thee (wewe)”, walitumia neno “You” na hivyo kuwapa nafua waongozaji ibada.

Harusi ya Malkia Elizabeth iliandaliwa Alhamisi wakati ile ya William ilifanyika Ijumaa.

Harusi hiyo ilihudhuriwa na mamia ya watu mashuhuri duniani, kama David Bekham na mkewe Victoria, nyota wa vipindi vya televisheni wa Marekani, Oprah Winfrey, mwanamuziki maarufu wa Uingereza, Elton John, mwigizaji wa Kimarekani, Idris Elba, mcheza tennis maarufu, Serena Williams na mwanamuziki James Blunt. Picha za televisheni zimemwonyesha pia, mpenzi wa zamani wa Harry, Chelsy Davy.
 
Screenshot_20180519-130051.jpg
 
Watu wanaogopa kuibiwa bhana,halafu uzuri wa kuweka private hata mkiachana hakuna atakayejua zaidi yenu,sasa hii"kuzinduana"mkiachana tu tunajua maana mtabadili id na kukimbia jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#protectyourlovedones#
Ni kweli kabisa aisee,haya mambo ya kuzinduana ni utoto tu huo!!

Hiyo hastang nmeipenda #protectyourlovedones# kama tunavyofanya sisi [emoji23]
 
Back
Top Bottom