myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
16:38
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa shiro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha kunichocha basi kasmart ntakuwa navivaa kila siku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AiseeeeNdiyo.
ID ya Mirinda ndiyo Mama Sabrina.
Fact.
[emoji23][emoji23][emoji23] dah,Poleni mnaolea nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah,
Tumepoa mkuu,
Pole kwa wanaokaa kwa mashemeji
Zaidi ya mashabiki 2,000 wa Real Madrid wamerudisha tiketi zao za mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa Jumamosi ijayo dhidi ya Liverpool(Independet)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Liverpool wamefuta mpango wa kucheza mechi za majaribio kabla ya msimu ujao dhidi ya klabu ya borussia Monchengladbach kwa kuwa klabu hiyo inamfuatilia mshambuliaji wake Rhian Brewster, 18. (Liverpool Echo)

Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na ww ni mmoja wao [emoji23]
Everton ina matumaini ya kumtangaza meneja wao mpya Marco Silva, meneja wa zamani wa Watford mwanzoni mwa juma lijalo. (Mail on Sunday)