Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ana sema
"Figuring out where to eat"

Kuna mawili either wewe ume i over translate au wao wame over state
 
Majanga ya asili(Natural Disasters) ni matukio yanayotokea kwa wingi duniani hutumia muda mfupi lakini madhara yake huwa ni makubwa.
Katika muda mfupi yanayotumia huondoa maisha na kujeruhi watu pamoja na uharibu wa mali.
Majanga haya huwa hayana eneo maalumu popote yanaweza kutokea japo kuna baadhi ya maeneo huwa ni mara kwa mara yanajirudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…