[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka ubaki forever Young, hakuna hcho kitu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]sijui kwanini nilikua mkubwa[emoji17][emoji17]
mke wa mtu sumu!!Yani una mke wa mtu unataka taka romance
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka ubaki forever Young, hakuna hcho kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akili inahama kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Fomyula yake ya E =MC2 ndiyo ilifunua siri ya jinsi mass kidogo tu inavyoweza kutoa nguvu kubwa za kutisha. Baada ya fomyula hii tafiti za wanasayansi wenzake kama akina Enrico Fermi, Marie Currie na Niels Bohr zilionyesha uwezekano wa kutumia kiasi kidogo tu cha elementi nunurishi (radioactive elements) kama Uranium na Plutonium ili kuweza kuzalisha nguvu za kutisha. Tayari Adolf Hitler alikuwa ameanza utafiti huo na Albert Einstein na mwanasayansi mwenzake walimwandikia barua rais wa Marekani kuhusu uwezekano wa kuunda bomu hatari lenye kuangamiza kabisa kabisa. Ili kumzuia Hitler asiwe na bomu la aina hiyo Marekani iliwekeza haraka haraka katika uundaji wa bomu la aina hiyo katika mradi wa siri sana uliopachikwa jina la Manhattan Project. Wanasayansi wa mradi huu wakiongozwa na Mjerumani aliyeitwa Oppenheimer ndiyo walifanikiwa kuunda mabomu yale ya mwanzo mwanzo yaliyodondoshwa Nagasaki na Hiroshima na kukata ngebe ya Wajapan na kuvikomesha vita vya pili vya dunia mara moja.Nataka kujua Albert Einstein yeye ndio ana husika na formula ya hilo bomb la HIROSHIMA?
Nyama inakuwa laini sana...Hahahahah mambo ya weekend hayo, furaha ya hyo kitu wanaenjoy ngozi nyeupe aisee,,, unakuta kwenye jiko kuna nyama ya kutosha basi muda wote wanaichoma ile nyama huku wanainyunyuzia na hayo mivinyo,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili parachichi toka limeanza kuzungumzwa [emoji23]
Yes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I'm not ready[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 782205