Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani nikigoma kutoa nywila ndoa inavunjika?? Au nikitoa nywila napelekea kuvunja ndoa yangu?
Vyote. Ukigoma ina maana kuna mambo unaficha unalimwa talaka. Ukitoa kuna mambo mabaya yanakutwa humo unalimwa talaka pia [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…