myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
LIKES ZINAENDELEA KUTOLEWA…
Itakuwa wanalala mchanaKuna watu wa JF usiku wa manane .
Shauri yao.
Hata kama alikuwa mweusi so what bro?
You are causing us to lose our culture, sir [emoji16][emoji16][emoji16]I will never count..[emoji3]
Ni mara yangu ya kwanza kukuona huku mkuu. Karibu sana na tushushie nondo hizi tuzidi kujifunza...Tunaposema magonjwa yasiyoambukiza maana yake hayatoki kwa mtu na kwenda kwa mtu na yanakuwa kwa muda mrefu hivyo tunasema ni sugu. Magonjwa sugu hata matibabu huchukua muda mrefu ambapo kitaalam tunaita ‘Chronic Care Management’. Ni magonjwa ambayo huanza taratibu na hukaa muda mrefu ambapo mgonjwa hupata nafuu ya muda na wakati mwingine unalipuka tena.
Ningeshangaa kama wangekua na damu ya njano!!! Binadamu wote tuko sawa kwa mungu...Hata kama alikuwa mweusi so what bro?
Haya Musa, Daudi, Sulemani, Mtume na mashujaa wengine wa imani wote walikuwa weusi, then what bro? Italeta mvuvumko wa kifikra na kumtoa mtu mweusi katika utumwa wa kifikra na kisaikolojia alionao ama?
Asante mkuu,nashukuru kwa ukaribisho.Ni mara yangu ya kwanza kukuona huku mkuu. Karibu sana na tushushie nondo hizi tuzidi kujifunza...