Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hizi tafiti wamefanya huko India,, So sijui kama ni kweli Bro, japo sio kila tafiti wanazofanya wanasayansi znakuwa na ukweli ndani yakeNi kweli hii bro?
Pia kuna wengine wanakuambia unywaji wa soda ni hatari zaidi kwa afya kuliko hata uvutaji wa sigara,, akili za kuambiwa unachanganya na za kwako bro!