Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekuwa safi sana Bro, pia unakaribshwa,, haukuwa unafanya dhambi bro ni jambo jema kushiriki maana sote ni ndugu
Ndiyo maana waliponizoea wala hawakuwa na ishu na mimi. Classmates mmoja kigogo siku hizi nilikuwa namuuliza kama amefunga nizuke tena basi tumecheka sana. Maisha haya bro we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
b0b28af5-b367-497e-85fd-7b6c14c86da1.gif
 
Ndiyo maana waliponizoea wala hawakuwa na ishu na mimi. Classmates mmoja kigogo siku hizi nilikuwa namuuliza kama amefunga nizuke tena basi tumecheka sana. Maisha haya bro we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Haya maisha tunatoka mbali sana, na hzo moment km hzo ndo hubaki kumbukumbu tosha hata km mkipotezana then mkikutana mkakumbushia ishu hzo basi mnaishia kucheka tu,,, [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuasiliwa

Kama watu wengine wanavyokwenda katika vituo vya ustawi wa jamii kuasili watoto, hapa Ujerumani mbwa na paka huasiliwa.

Inakadiriwa kuwa wanyama 300,000 wengi wakiwa ni mbwa na paka wako katika makazi maalumu na wanatakiwa kuasiliwa.

Kama unataka kuasili mbwa unatakiwa kwenda katika kituo maalumu kiitwacho Tierheim, yaani makazi ya wanyama. Huko utajaza fomu maalumu na utachunguzwa kama kweli unaweza kutunza mbwa.
 
*dem flani ameingia kwa duka hapa ya jewellery.* *Akanyamba akiinama kuangalia earings, kugeuka akaona muuzaji Hana shughuli akadhani hakuskia mnyambo.*

Akamuuliza "hii ring ni how much??
Huyo msee juu hana chills akamjibu. Kama umenyamba juu ya kuona tu, ukiskia bei si utahara madam??[emoji23][emoji23]`
*"""*********
 
Wakenya hawana mishipa ya aibu, wanakupa live na machoni wanakuwa wakavu kama hajasema ktu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom