Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hata kama alikuwa mweusi so what bro?
Haya Musa, Daudi, Sulemani, Mtume na mashujaa wengine wa imani wote walikuwa weusi, then what bro? Italeta mvuvumko wa kifikra na kumtoa mtu mweusi katika utumwa wa kifikra na kisaikolojia alionao ama?
Wakuu mpo sawa, sijajua ni kipi hasa anatafuta mleta huu uziNingeshangaa kama wangekua na damu ya njano!!! Binadamu wote tuko sawa kwa mungu...
Hizi rangi haziongezi utukufu...