capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Are girls called chicks because they produce eggs or because they love cock
Am jst Thinking
Am jst Thinking
[emoji125] [emoji125] hahahhaahKwa udhamini wa Numby beibiiii
[emoji23][emoji23]View attachment 783946
Bro; wewe na shemeji Husna mlifika wapi?
Kila mtu ana picha kichwani mwake ya mtu amtakaye. Na picha hii akiiona katika maandishi na misimamo ya mtu basi anaweza kuvutika nayo hata kabla hajaonana naye. Tatizo ni huko mbele ya safari atakapogundua kuwa kumbe hicho alichodhani kuwa ndicho sicho bali lilikuwa kunguku tu la bandia. Ndiyo chanzo cha kurudi humu na kuanza kuanzishiana nyuzi za kuchambana kila leo...
Asante mkuu, Nami nilikwenda kuambukizwa, Sasa nimerejea.
Yeah. Nakumbuka. Moto uliwaka sana. Na thread kali juu tena yenye wachangiaji wengi. Kila la heri bro...LOL
husna na mimi kiukweli tuli-fall in love in mysterious way. naweza sema kwanza nilivutika na jina lake HUSNA MUBA pili aina yake ya uandishi japo kikawaida ni kama wote tunaandika sawa lakini kuna uandishi unavutia na Machagizo fulani huwa yanawekwa mfn. hubby hiv ulinambia mekula eeh?..................... HAJAWAHI NIONA SIJAWAI MWONA. na bado tuka-fall in love
i wish hata kama ningemuona still ningeendelea kumpenda sababu Love is always constantly hivyo Upendo wa kweli haubadirishwi Mazingira kamwe .
"Usiku umeingiaa" na watu wameingiaa mkuuUpendo wa kweli upo JF, Am pretty sure kabisa sababu huwezi penda ID na Avatar ya mtu ambaye hujawahi kumuona Face to face ili uwe attracted naye.
couple kama yakina Smart901 na Mahondaw hawa wanapendana kwelii japo hatuwezi Prove wanapenda kiasi gani lakini kupendana wanapendana Hakyanani.!
Power of love. unaweza ukajikuta Emotionally unai feel ID fulani labda umevutiwa na aina yake ya uandishi au laa! nachotaka kukizungumzia ni ile feeling ambayo unaipata kwa mtu hata hujui anafanana vipi? this must be a huge Love.
usiku umeingiaa.
Hahahaha umejifunza kuchunguzaHahah! Nimeona lakini ile kucha gumba yake hapana kabisa