omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Kabisa, watu wanajaa tu."Usiku umeingiaa" na watu wameingiaa mkuu
Kabisa, watu wanajaa tu."Usiku umeingiaa" na watu wameingiaa mkuu
[emoji106]usiku wa likes
Naenda kujua na kuliweka akilini.
ooh bro sorry aisee, kumbe ni link umetuma nikajua ni post yako Binasfi hope jamaa atakuwa amepata msaada wa kutosha huko kwenye siledi yake.Bila shaka bro Pesa unaipata lakini inatumika kirahisi kuliko unavyoipata kiugumu once ndomana unataka kuitafutia ufumbuzi.
Jaribu haya
1. jiwekee malengo
Pesa ikiwepo na huna malengo absolutely itatumika na itakwisha bila malengo. mfn weka malengo na lazima yawe makubwa ili uyapiganie na uitunze fedha.
2. tamaa ya kununua Vitu.
mala nyingi hiki ndio kina maliza pesa, ukiweza kuzuia tamaa yako na usinunue vitu hovyo hovyo basi pesa yako itakaa sana mfukoni ila lazima uwe na malengo nayo maana bila malengo ni kazi bure maana utaitumia tu kama sio kupotea.