omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Mkuu mwema?[emoji106]
Mkuu mwema?[emoji106]
Ni madongo tu hakuna la maana. Wanaume tunapigwa madongo tuache kulelewa na wanawakeNaenda kujua na kuliweka akilini.
Halijaharibika neno bro. Nimejifunza kitu. Nakumbuka maongezi yetu ya enzi zile kuhusu MWATEX. Huwa napenda ushauri unaotokana na experience ya mtu kuliko mawazo ya kusoma vitabuni. Asante bro.ooh bro sorry aisee, kumbe ni link umetuma nikajua ni post yako Binasfi hope jamaa atakuwa amepata msaa wa kutosha huko kwenye siledi yake.
Yaah! kweli tuliongea mengi kuhusu ile biashara ambayo mpaka sasa naifanya na inaniweka mjini japo faida sio kubwa kivile lakini ina nistill niendele ku sticky around mjini.Halijaharibika neno bro. Nimejifunza kitu. Nakumbuka maongezi yetu ya enzi zile kuhusu MWATEX. Huwa napenda ushauri unaotokana na experience ya mtu kuliko mawazo ya kusoma vitabuni. Asante bro.
Mazingira ya biashara nyingi sasa ni magumu. Ni kuendelea kuvumilia tu hiki kipindi hopefully kitapita. Na kama biashara bado inakutimizia mahitaji ya msingi na ukabakiza na kiakiba kidogo hiyo bado siyo ya kuiacha hivi hivi...Yaah! kweli tuliongea mengi kuhusu ile biashara ambayo mpaka sasa naifanya na inaniweka mjini japo faida sio kubwa kivile lakini ina nistill niendele ku sticky around mjini.
Safi kabisaMkuu mwema?
hakika bro,Mazingira ya biashara nyingi sasa ni magumu. Ni kuendelea kuvumilia tu hiki kipindi hopefully kitapita. Na kama biashara bado inakutimizia mahitaji ya msingi na ukabakiza na kiakiba kidogo hiyo bado siyo ya kuiacha hivi hivi...