myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua
Nimetoka kuliweka akilini, [HASHTAG]#Katotokazuri[/HASHTAG] ana hoja nzuri lakini tatizo anaiwasilisha kwa hasira na chuki. Lakini nimemuelewa, Naendelea kupiga kazi.Ni madongo tu hakuna la maana. Wanaume tunapigwa madongo tuache kulelewa na wanawake
Nawe piaWapendwa wa Mungu niwatakie usiku mwema.
Lala salama bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wapendwa wa Mungu niwatakie usiku mwema.
Hata huku ni balaa. Na radi kali kali. Ni kujikunyata tu na kutubu kila aina ya dhambi [emoji16][emoji16][emoji16]Mvua usiku huu
[emoji16][emoji16][emoji16]Hata huku ni balaa. Na radi kali kali. Ni kujikunyata tu na kutubu kila aina ya dhambi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120]Mlale salama wapendwa [emoji120]View attachment 784044