Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Pita
[emoji23][emoji23][emoji23], Hata sielewi kwanini wanalala.Duh
Chief swali lako kina Pyaar wanaweza kukujibu vzr, kulala after sex humaanisha nin kwa mwanamke?
[emoji23][emoji23][emoji23], vizuri ...Umefanya kosa gani mpaka UPIGWE??Niko imara, Hofu yangu ni juu yako mkuu!
Au ntapigwa!?
Kwema kabisa ningendako[emoji120][emoji120]Mambo Pyaar, kwema huko uliko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwema sana bro. Ningekuwa mitaa hiyo ningekuja kudandia futari. O'level nilikuwa fundi sana mpaka nilijulikana. Kwenye futari na daku hunikosi. Mpaka leo sijui kama nilikuwa natenda dhambi ama la..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Show ilikuwa yenyewe[emoji124] [emoji124]
Be Real stay true to yourself
Wakulu hawangalii kosa, Ni adhabu tu.[emoji23][emoji23][emoji23], vizuri ...Umefanya kosa gani mpaka UPIGWE??
Hata sijakuelewa, kina nani??Wakulu hawangalii kosa, Ni adhabu tu.
NakutaniaHata sijakuelewa, kina nani??