Hizi tafiti wamefanya huko India,, So sijui kama ni kweli Bro, japo sio kila tafiti wanazofanya wanasayansi znakuwa na ukweli ndani yakeNi kweli hii bro?
Siyo mtu mmoja huyu. NAKATAAKwa udhamini wa Numby beibiiii
[emoji23][emoji23]View attachment 783946
[emoji23][emoji23][emoji23],Siyo mtu mmoja huyu. NAKATAA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekuwa safi sana Bro, pia unakaribshwa,, haukuwa unafanya dhambi bro ni jambo jema kushiriki maana sote ni nduguHuku kwema sana bro. Ningekuwa mitaa hiyo ningekuja kudandia futari. O'level nilikuwa fundi sana mpaka nilijulikana. Kwenye futari na daku hunikosi. Mpaka leo sijui kama nilikuwa natenda dhambi ama la..
Soda najua ni hatari mno. Hizi 0 calories sasa zinatajwa kuwa chanzo kimojawapo kikuu cha pancreatic cancer....Hizi tafiti wamefanya huko India,, So sijui kama ni kweli Bro, japo sio kila tafiti wanazofanya wanasayansi znakuwa na ukweli ndani yake
Pia kuna wengine wanakuambia unywaji wa soda ni hatari zaidi kwa afya kuliko hata uvutaji wa sigara,, akili za kuambiwa unachanganya na za kwako bro!
[emoji23][emoji23][emoji23]hzo za above 40+ ni hatari sana, sio za kuzoea aiseeSoda najua ni hatari mno. Hizi 0 calories sasa zinatajwa kuwa chanzo kimojawapo kikuu cha pancreatic cancer....
Pombe ukizinywa na maji mengi hazina madhara makubwa katika ini unless kama umehamia kwenye hizi kali kabisa abv 40%+
Hahah! Nimeona lakini ile kucha gumba yake hapana kabisaDavet nimeona kucha zako huku
Jikoni kwa Evelyn Salt na Mentor: Mapishi ya Cupcakes
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo Pyaar, kwema huko uliko?[emoji23][emoji23][emoji23],
Niko imara, Hofu yangu ni juu yako mkuu!Kwema mkuu?