Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upendo wa kweli upo JF, Am pretty sure kabisa sababu huwezi penda ID na Avatar ya mtu ambaye hujawahi kumuona Face to face ili uwe attracted naye.

couple kama yakina Smart901 na Mahondaw hawa wanapendana kwelii japo hatuwezi Prove wanapenda kiasi gani lakini kupendana wanapendana Hakyanani.!

Power of love. unaweza ukajikuta Emotionally unai feel ID fulani labda umevutiwa na aina yake ya uandishi au laa! nachotaka kukizungumzia ni ile feeling ambayo unaipata kwa mtu hata hujui anafanana vipi? this must be a huge Love.

usiku umeingiaa.
 
Bro; wewe na shemeji Husna mlifika wapi?

Kila mtu ana picha kichwani mwake ya mtu amtakaye. Na picha hii akiiona katika maandishi na misimamo ya mtu basi anaweza kuvutika nayo hata kabla hajaonana naye. Tatizo ni huko mbele ya safari atakapogundua kuwa kumbe hicho alichodhani kuwa ndicho sicho bali lilikuwa kunguku tu la bandia. Ndiyo chanzo cha kurudi humu na kuanza kuanzishiana nyuzi za kuchambana kila leo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…