Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ooh bro sorry aisee, kumbe ni link umetuma nikajua ni post yako Binasfi hope jamaa atakuwa amepata msaa wa kutosha huko kwenye siledi yake.
Halijaharibika neno bro. Nimejifunza kitu. Nakumbuka maongezi yetu ya enzi zile kuhusu MWATEX. Huwa napenda ushauri unaotokana na experience ya mtu kuliko mawazo ya kusoma vitabuni. Asante bro.
 
Halijaharibika neno bro. Nimejifunza kitu. Nakumbuka maongezi yetu ya enzi zile kuhusu MWATEX. Huwa napenda ushauri unaotokana na experience ya mtu kuliko mawazo ya kusoma vitabuni. Asante bro.
Yaah! kweli tuliongea mengi kuhusu ile biashara ambayo mpaka sasa naifanya na inaniweka mjini japo faida sio kubwa kivile lakini ina nistill niendele ku sticky around mjini.
 
Yaah! kweli tuliongea mengi kuhusu ile biashara ambayo mpaka sasa naifanya na inaniweka mjini japo faida sio kubwa kivile lakini ina nistill niendele ku sticky around mjini.
Mazingira ya biashara nyingi sasa ni magumu. Ni kuendelea kuvumilia tu hiki kipindi hopefully kitapita. Na kama biashara bado inakutimizia mahitaji ya msingi na ukabakiza na kiakiba kidogo hiyo bado siyo ya kuiacha hivi hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…