Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mujibu wa shirika la Afya duniani (WHO), mitindo ya maisha isiyo bora ndio chanzo kikubwa cha kuongezeka kwa magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza duniani ambayo yamekua yakisababisha mamilioni ya vifo vya mapema kila mwaka
 
Maendeleo ya kiuchumi ambayo ni pamoja na kuongezeka kwa kipato, matumuzi ya nyenzo nyingi za kisasa ikiwa ni pamoja na magari, vifaa vya kisasa vya kutendea kazi, komputa na television vimechangia sana kuwafanya watu kuwa na ulaji usiofaa na kutofanya mazoezi ya mwili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huamini eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtindo bora wa maisha ni ule unaozingatia:
  • ulaji unaofaa
  • kufanya mazoezi ya mwili,
  • kuepuka matumizi ya sigara na bidhaa zitokanazo na tumbaku,
  • kuepuka matumizi ya pombe na
  • kuepuka msongo wa mawazo.
Mtindo bora wa maisha ni muhimu katika kuendeleza na kudumisha afya ya mtu na kuzuia maradhi, hususani magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…