Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

D515F4BD-EDDE-4164-A5EA-C7D4E79114BA.jpeg
 
Siku hizi aibu hakuna kabisa...Enzi zetu mwanaume akikutokea siku ya kwanza unajikanyaga kanyaga kujibu, Ooh! nawahi nyumbani nimechelewa, nyumbani nasubiriwa..[emoji23][emoji23]..Ukija kumuona mara ya pili kama hajakuona unatimua mbio kujificha[emoji23][emoji23][emoji23]
Andaeitini nawe na enzi zenu wapi na wapi? Maandaeitini wa humu mna vituko dah! Father time is there subirini tu haraka ya nini? 15 yrs itafika sasa hivi hapo ndipo mtakuwa angalau na kakredibilite kidogo ka kurejelea historia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Pyaar na yeye ni andaeitini Bro? kwa ule uzi wa saikolojia na experience za ndoa kuna day alitoa hapa, mi nkajua above andaeitini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huamini eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pyaar, shimba haamini
 
Back
Top Bottom