Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
Inakaribia saa moja
Wewe ni mzawa hapa, wajurishe tu, zamani ilikuwa ni pale karibu na kwenu sh/Uhuru, yani pale mission qouter,ilikuwa ni undava tu, lakini sasa angalau eneo kubwa Dar limestaarabika. Ni amani tu