Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dunia na pande zake. Ukipata furaha mshukuru Mungu
FB_IMG_1527015671521.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua na wewe ni wale wazee wa kukimbia kisa hakai masaki peninsula i touch new money everyday,money loves me walah[emoji38][emoji38][emoji2]
Nimesema Mbagala ninakokaa. Sasa nitajikimbia mwenyewe shem? Akiwa na wese hata kama anakaa ndani ya kichuguu haijalishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Andaeitini nawe na enzi zenu wapi na wapi? Maandaeitini wa humu mna vituko dah! Father time is there subirini tu haraka ya nini? 15 yrs itafika sasa hivi hapo ndipo mtakuwa angalau na kakredibilite kidogo ka kurejelea historia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa shirika la Afya duniani (WHO), mitindo ya maisha isiyo bora ndio chanzo kikubwa cha kuongezeka kwa magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza duniani ambayo yamekua yakisababisha mamilioni ya vifo vya mapema kila mwaka
Kisukari, RIP marafiki zangu kadhaa, Ugonjwa wa moyo, RIP marafiki na ndugu kadhaa, vidonda vya tumbo nk. Tubadirike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo ya kiuchumi ambayo ni pamoja na kuongezeka kwa kipato, matumuzi ya nyenzo nyingi za kisasa ikiwa ni pamoja na magari, vifaa vya kisasa vya kutendea kazi, komputa na television vimechangia sana kuwafanya watu kuwa na ulaji usiofaa na kutofanya mazoezi ya mwili.
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom