Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ULAJI UNAOFAA
Hutokana na kula chakula chenye mchanganyiko wa angalau chakula kimoja kutoka katika makundi matano(5) ya vyakula na kupunguza kiasi cha mafuta, chumvi na sukari kinachotumika. Chaula hicho kinatakiwa kiwe cha kutosha kukidhi mahitaji ya mwili
 
safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…